Saturday, November 2, 2013

Cheka nasi

*Ati unabeba guitar coz wewe ni
msanii, kwani malaya hubeba
kitanda?

*Ati kuwatch horror movie ni 1000/=
kwani shetani aliact live?

*Ati kuona daktari ni 1k kwani
ametoa nguo?

*Ati boxer ni 900 kwani iko na
suspender za testicles?

*Ati elimu ni ngao kwani twaenda
kwa vita?

*Ati mwisho wa gari ni hapa kwani
ikipita apo inakuwa ndege?

*Ati gari haina watu kwani dereva na
kondakta ni wanyama?

*Ati pads 1k kwani inakam na
drainage system?kaa landa ww

No comments:

Post a Comment