Madaktari nchini Kenya wameelezea wasiwasi kuhusu matumizi mabaya na ya kiholea ya dawa za dharura ambazo zinanuiwa kuwakinga waathiriwa wa ubakaji kutokana na maambukizi ya virusi vya HIV.

Lakini mwandishi wetu Zainab Deen aligundua kuwa wanawake makahaba wamegundua njia za kupata dawa hizo.
No comments:
Post a Comment