Monday, November 4, 2013

Nimecheka mpaka basi..

Masai mmoja kaenda kanisani kupeleka mbuzi kama sadaka..kufika mlangoni masai kakaa nje.Pastor katoka kapata masai kamfunga mbuzi wake nje. Pastor kauluza masai..'mbona unakataa kuingia na mbuzi wako ndani umpeane sadaka??'...masai kajibu haraka 'erooo mimi hapana pumbavu..wewe nataka mimi naingia halafu SIMBA wa Yuda nakula mbuzi yangu???'!!!!

No comments:

Post a Comment