Monday, November 4, 2013

unachekesha sana

Kuna jamaa alipenda sana dem flani lakini
akaogopa kumwambia kwa mda mrefu sana.
Siku moja akashindwa kuvumilia na akaamua
kumtumia message,so akachukua simu yake
akatype 'I LOVE U MONICA' na akatuma.
Ghafla kukaingia message kwa simu yake
akafurahi sana lakini akaamua hatasoma hio
massage mpaka asubuhi ndio ikue kama Suprise.
Asubuhi jamaa akachukua simu na furaha akitaka
kujua venye alijibiwa..aliposoma hakuamini
alichoona..
Message ilisoma eti "Dear customer: sorry, you
have insufficient funds to use ths service. Please
top up to continue enjoying our services.safari
com the beta option".
Jamaa akafaint!!

No comments:

Post a Comment